loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Nchi za Afrika zatakiwa kuwapa nafasi vijana

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam kuhusu kumalizika kwa mkutano wa vijana wa Afrika na China uliofanywa mjini Arusha, Mayumba alisema viongozi wa Afrika wanatambua umuhimu wa vijana katika ujenzi wa nchi, hivyo ni vyema wakapewa fursa kuonesha weledi wao.

Alisema katika mkutano huo, waliwaambia viongozi wa Afrika kuwa vijana wa bara hili wana nafasi kubwa ya kujenga nchi zao, ila wanakosa fursa za kuonesha ujuzi na weledi wao kwenye fani mbalimbali.

“Tulikutana na viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika, tumezungumza nao mengi na kubwa ni kuwapa vijana fursa kwenye ngazi za maamuzi, tuwasaidie vijana wanaweza leta mabadiliko yenye tija kwenye nchi zao,”alisema Mayumba, raia wa ni kiongozi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Alisema vijana ndio nguzo ya mabadiliko na hivyo wanapaswa kupewa nafasi kuonesha uwezo na weledi wao kwenye sekta mbalimbali, na wapewe nafasi za kufanya maamuzi ili kujenga nchi.

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abbasi ...

foto
Mwandishi: Ikunda Erick

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi