loader
Picha

Power tiller yaua mwanafunzi

Ilikuwa ikiendeshwa na Aizack Mwashangwa (22) mkazi wa Mahongole.

Ajali hiyo ilitokea juzi saa 9:30 alasiri katika Kijiji cha Ibumila-Mahongole, Kata ya Songwe-Imalilo, Tarafa ya Rujewa, Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.

Kamanda alisema mtoto huyo na wenzake walikuwa wanatoka kuvuna mpunga wa shule. Chanzo cha ajali kinachunguzwa.

Dereva alikimbia na kuacha Power tiller mara baada ya tukio.

KAIMU Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania, Imani Sichalwe amesema ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu, Mbeya

Weka maoni yako

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi