loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

RC Moro ataka wanawake kusaidia kufichua wahalifu

Dk Rutengwe alitoa rai hiyo wakati alipozungumza na wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa wa Morogoro, mwishoni mwa wiki wilayani Kilosa baada ya kutangaza matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu kwa makundi matano ya mkoa.

“Mkoa wetu katika miezi ya hivi karibuni ulikuwa na matukio yanayoashiria vitendo vya uharifu wa kigaidi, wengi wao wamekamatwa na msako bado unaendelea maeneo mbalimbali,” alisema mkuu wa mkoa na kuongeza.

JOPO la Majaji 12 nchini Marekani limemtia hatiani ...

foto
Mwandishi: John Nditi, Morogoro

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi