loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Sheria ya gesi, SWF kufikishwa bungeni

Akizungumza kwenye kongamano na maonesho ya tatu ya mafuta na gesi asilia juzi jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele alisema tayari maandalizi ya miswada hiyo yameshakamilika.

Katika muswada wa uanzishwaji wa mfuko wa SWF, alisema serikali inaanzisha mfuko huo kwa ajili ya matumizi ya baadaye kwani utatumika kuweka mapato ya ziada yatokanayo na rasilimali ya gesi iliyopo nchini, kwani inaonesha nchi itakuwa na mapato mengi, hivyo badala ya kutumia kwa fujo, ni vyema kuwekeza.

Kuhusu muswada wa Sheria ya Gesi Masele alisema unategemewa kuwasilishwa bungeni katika Bunge la Novemba kama litaruhusu miswada na kama haitaruhusiwa itawasilishwa mapema Februari mwakani ili kusomwa kwa mara ya kwanza.

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi ...

foto
Mwandishi: Ikunda Erick

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi