loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Azuia ‘ambulance’ zisitumike

Magari hayo aina ya Noah yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 25, yaliyotolewa na Mbunge wa Kalambo (CCM) anayemaliza muda wake, Josephat Kandege, kwa vituo vya afya vya Mwimbi na Ngorokwa wilayani Kalambo.

Kwa maelezo ya Ndile, magari hayo ni mtumba akimaanisha kuwa yalikwishatumika hivyo, kukosa ubora wa kutoa huduma ya kusafirisha wagonjwa. Inaelezwa kuwa yalitolewa msaada katika sherehe ambayo viongozi wa serikali ya wilaya hawakuhudhuria, kutokana na agizo la Ndile.

“Nimelazimika kupiga marufuku magari hayo yasitumike kwa kuwa yana hitilafu kubwa za kiufundi, kuanzia kwenye injini. Milango yake haifunguki na mfumo wa umeme una matatizo pia. Nimeagiza yasikabidhiwe wala kupokelewa kwa vituo vya afya vilivyolengwa,” alisema.

Alifafanua msingi wa kuyakaa kwa kusema kuwa serikali haipokei magari yaliyotumika bali hupata mapya na kuanza kuyafanyia matengenezo baada ya miaka mitatu ya matumizi.

JOPO la Majaji 12 nchini Marekani limemtia hatiani ...

foto
Mwandishi: Peti Siyame, Sumbawanga

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi