loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

TRL yakopeshwa shilingi bilioni 12

Makabidhiano ya mkopo huo yalifanyika jana kati ya Mkurugenzi Mtendaji wa TIB, Peter Noni na Mwenyekiti wa Bodi wa TRL, Severine Kaombwe.

“Sisi kama TIB lazima tushiriki katika uwekezaji katika maeneo mbalimbali hapa nchini ila sasa tumeamua kuwasaidia TRL,” alisema Noni.

Mwenyekiti wa Bodi TRL, Kaombwe alisema mtaji huo utawasaidia kufanya kazi bila tatizo.

Alisema sasa wana vichwa sita ambavyo ni vizima na vinafanya kazi na wanategemea kupata vichwa vingine viwili.

“Reli ni muhimu sana na ni mahali ambapo serikali inapenda kuwekeza hivyo kwa mtaji huu mambo yataenda vizuri,” alisema Kaombwe.

MCHICHA ni aina nyingine za ...

foto
Mwandishi: Sophia Mwambe

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi