loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

Wanafunzi IST watoa vifaa ya kuogelea

Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), Ramadhan Namkoveka aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Saaj Visaria na Dhruv Pujara waliotoa msaada huo kupitia mradi wao wa Shule wa Swimathon.

Namkoveka alisema vifaa vilivyotolewa ni saa wanazotumia makocha wa mchezo huo zipatazo 18, vifaa vya kuogelea, printa moja, kompyuta mpakato moja, programu moja inayofahamika kama Meet Manager ambayo hutumika kutunza data za wachezaji na miwani.

“Tunawashukuru kwa kutuunga mkono, lakini hawakusema thamani ya vifaa hivyo, jambo walilofanya ni la kuungwa mkono na wengine wenye nia ya kuinua mchezo huo,” alisema Namkoveka.

Alisema sio tu klabu ya Marine iliyonufaika, bali yeye mwenyewe kupitia mradi wa wanafunzi hao, alifadhiliwa kwenda kwenye mafunzo ya ukocha Marekani mwaka jana ili kuja kusaidia wachezaji.

MSANII wa Kizazi Kipya, Beka Flavour ...

foto
Mwandishi: Grace Mkojera

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi