loader
Picha

Wapanga kuandamana Ijumaa kulaani mauaji ya Palestina

Hayo yalisemwa jana na Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Abdul Sharif wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa jana.

Kila mwaka Waislamu kote duniani huandaa Siku ya Kimataifa ya Quds ambapo, wao na watetezi wa haki za binadamu kote duniani wanaandamana kuonesha mshikamano wao kuhusu Palestina.

Alisema maandamano hayo ya amani yatafanyika Julai 25 na yataanzia kituo cha daladala Ilala-Boma na yatahitimishwa katika viwanja vya Kigogo ambayo dini zote zitakusanyika pamoja kukemea vitendo wanavyofanyiwa Wapalestina.

Naye Shehe Hemed Jalala, Mkuu chuo cha dini cha Imam Swaadiq na Imamu wa Msikiti wa Kigogo alisema wameamua kuungana na wenzao wa dini zote kulaani mauaji hayo na kuongeza kuwa hakuna dini yoyote inayoruhusu watu kuuawa.

SERIKALI imeridhishwa na utendaji kazi wa Wakala wa Usajili wa ...

foto
Mwandishi: Sophia Mwambe

Weka maoni yako

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi