loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Washauriwa kuanzisha vituo vya vyakula asili

Rai hiyo ilitolewa juzi na Mratibu wa Takwimu Mkoa wa Arusha, Magreth Martin katika hotuba yake wakati akizungumza na wananchi mbalimbali wa Arusha kwenye tamasha la chakula cha asili cha kiafrika chini ya uongozi wa mgahawa wa Umbrella.

Alisema Tanzania imebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za utalii ambazo zimekuwa zikivutia wageni wa ndani na wengine kutoka nje ya nchi lakini hakuna kituo cha utalii wa vyakula vya asili ambapo wageni mbalimbali wanaweza kutembelea na kupata chakula.

Mkurugenzi wa mgahawa wa Umbrella, Elihuruma Msengi alisema huwezi kumkumbuka mwanamke kama hutotambua majukumu yake katika jamii, ikiwemo utayarishaji wa chakula cha asili ili kuhakikisha afya ya familia yake inakuwa bora na imara.

WASTANI wa bei za nafaka katika masoko mbalimbali nchini zimepungua ...

foto
Mwandishi: Veronica Mheta, Arusha

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi