Hafla utiaji saini uendeshaji bandari

DODOMA; Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali kwenye hafla ya utiaji saini uwekezaji na uendeshaji wa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Oktoba 22, 2023.

2 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *