Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua uwanja wa Majaliwa baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa ya maboresho ya uwanja huo, uliopo Ruangwa Mkoani Lindi. Majaliwa aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telak na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma.