Hamisa yuko tayari kuacha muziki

MWIGIZAJI na mwimbaji wa Bongo fleva, Hamisa Mobetto amesema yupo tayari kuacha muziki kwa sababu alikuwa akifanya kwa kujifurahisha.
Hamisa amesema kuwa muziki sio kitu nafanya kwa maisha yote nilifanya kwa kujifurahisha tu.
“Sikuingia kwenye muziki milele ila nilifanya kwa kujaribu na kujifurahisha ila sio kitu cha kufanya maisha yangu yote naacha muziki.” amesema Hamisa
[…] post Hamisa yuko tayari kuacha muziki first appeared on […]