Heri ya miaka 62 ya Uhuru

DESEMBA 9, ya kila mwaka Taifa linaadhimisha siku ya Uhuru uliopatikana Desemba 9, 1961, na leo Desemba 9, 2023 ni maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru.
Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru kwa mwaka huu yamebeba Kauli Mbiu inayosema ‘Miaka 62 ya Uhuru, Umoja na Mshikamano ni chachu ya maendeleo ya Taifa’.

Habari Zifananazo

Back to top button