Hojlund nje wiki tatu

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Rasmus Hojlund atakuwa nje ya uwanja wa wiki mbii hadi tatu kutokana na maumivu ya misuli ya nyama za paja.

Taarifa hiyo imetolewa leo Februari 23, 2024 na klabu hiyo.

“Jeraha la misuli linatarajiwa kumweka nje kwa wiki 2-3”, Manchester United imethibitisha.

Advertisement

Hojlund atakosa mchezo wa wikiendi hii dhidi ya Fulham na michezo mingine.