KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) inampongeza Spika wa Bunge la Tanzania Dk Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).