HT: Max Nzengeli apiga mabao mawili

KIUNGO Max Nzengeli ameipeleka Yanga mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Singida Big Stars, mchezo wa ligi kuu uwanja wa Mkapa.

Nzengeli amefunga mabao hayo dakika 30 na 39.

 

Habari Zifananazo

Back to top button