MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kati ya CR Belouizdad na Yanga umeenda mapumziko Yanga ikiwa nyuma mabao 2-0.
–
Yanga imeruhusu bao la kwanza dakika ya 10 lililofungwa na kiungo Abdelraouf Benguit, kabla ya dakika ya 45 kiungo Abderrahmane Meziane kufunga bao la pili.
–
Mchezo huo wa kundi D unajumuisha timu za Al-Ahly, Yanga, Belouizdad na Medeama.
–
Yanga itarudiana na timu hiyo baada ya kumaliza raundi ya kwanza ya michezo yote mitatu.