MSANII wa filamu nchini Husna Sajenti, amesema katika vitu anajuta kwenye maisha yake ni kuchora tattoo kwenye mwili wake.
Akizungumza na HabariLEO jijini Dar es Salaam, Husna amesema kuwa tattoo inamchukiza sana kwenye maisha yake.
“Kitu ninachojuta kwenye maisha yangu ni kuchora tattoo kwenye mwili wangu, hata mwanangu akiniuliza nakosaga jibu la kumpa na mwambia
Comments are closed.