DARASANI

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilongo Kata ya Mkundi, Manispaa ya Morogoro wakimsikiliza mwalimu wao aliyefahamika kwa jina moja la Kulwa shuleni hapo hivi karibuni. (Picha na John Nditi).