KUTOA DAMU

Ofisa muuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Cesilia Meela akiwatoa damu baadhi ya wakazi wa eneo la Mbagala, Dar es Salaam wakati wa shughuli ya uchangiaji damu, iliyofanywa na Taasisi ya Doris Mollel kwa kushirikiana na Benki ya CBA. Shughuli hiyo ilifanyika kwenye kituo cha mabasi, Mbagala Rangi Tatu, jijini.