WATAALAMU WA MAZINGIRA

Wataalamu wa mazingira kutoka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakiwa na askari wa wanyamapori eneo la Stiegler’s ambako mradi mkubwa wa umeme unatarajiwa kujengwa mwishoni mwa wiki.