MAANDALIZI YA UJENZI

Barabara ya dharura ya Ubungo karibu na Tanesco imefungwa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa barabara za muunganiko (Interchange Ubungo) Dar es Salaam.(Picha na Yusuf Badi).