TELEKEZWA

Jengo la Kiwanda cha kusindika nyama cha Tanganyika Packers kilichopo Kawe Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam ambacho kilibinafsishwa kikiwa hakijaendelezwa kama ilivyokusudiwa na serikali. (Picha na Yusuf Badi).