KILIO KWA KAMATI

Wachimbaji wadogo wa madini ya tanzanite katika mji mdogo wa Mererani wakitoa kilio chao kuhusiana na sheria ya uchimbaji wa madini hayo mbele ya Kamati Maalumu ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Madini hayo. (Na Mpigapicha Wetu).