MENO YA TEMBO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Mghembe akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana alipokuwa akiwaonesha jumla ya vipande vya meno ya tembo 28 yaliyokamatwa kwenye ghala katika eneo la Mbezi Beach. (Picha na Lusungu Helela- WMU).