KUAGANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mhe. Rory Stewart akiwa na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 23, 2017