KUKABIDHI ZAWADI

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (Wama), Salma Kikwete akimkabidhi zawadi Balozi wa China nchini, Dk Lu Youqing aliyemaliza muda wake wa kazi alipokwenda kumuaga katika ofi si za taasisi hiyo Kawe Dar es Salaam juzi.