MZIGO - ALMASI

Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango (katikati) akiangalia mzigo wa almasi kutoka kampuni ya uchimbaji wa madini hayo ya Mwadui mkoani Shinyanga, baada ya kuhakikiwa na wataalamu wazalendo waliogundua kuwa mzigo huo una uzito wa kilo 29 tofauti na kilo 13 zilizoainishwa awali, na thamani yake kubainika kuwa ni zaidi ya Shilingi bilioni 64. (Na Mpigapicha Maalumu).