USAFI

Wakazi wa Dar es Salaam wakifanya usafi katika ufukwe wa Coco wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usafi wa Fukwe Duniani iliyoadhimishwa jana. Zoezi la usafi huo lilidhaminiwa na Benki ya FNB na wadhamini mbalimbali. (Na Mpigapicha Wetu).