KUZUNGUMZA

Mwenyekiti wa Chama cha Waamuzi wa Soka Tanzania (FRAT), Joseph Mapunda (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuhusu mikakati mbalimbali ya chama hicho. Kulia ni Katibu Mkuu wa FRAT, Oden Mbaga na Mjumbe wa Mkuu mkuu wa TFF kutoka FRAT, Alanus Luena (Picha na Rahel Pallangyo).