AKIMUAPISHA

Rais John Magufuli akimuapisha Profesa Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania kwenye hafla BOMBA HOIMA-TANGA iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam jana.