KUSIKILIZA

Rais John Magufuli akimsikiliza Seneta James Inhofe wa Baraza la Seneti la Marekani wakati yeye na ujumbe wake walipofika Ikulu, Dar es Salaam jana kwa mazungumzo. (Picha na Ikulu).