ZIARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Utalii wa Oman Maitha Saif Majid aliefuatana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dk Mohamed Hamad Al Rumhy walipokutana na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 18, 2017