KUONGEA NA WANAHABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akimsiliza Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dk Mohamed Hamad Al Rumhy akiongea na wanahabari baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 18, 2017