BAADA YA UFUNGUZI WA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA

Rais John Magufuli na mke wake, Mama Janeth (wa tatu kulia) wakiwa na viongozi wa Serikali, wabunge, viongozi wa dini na wadau wa maendeleo baada ya ufunguzi wa Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera wakati wa ziara yake jana.