KUFUNGUA KONGAMANO

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akifungua Kongamano la nane la Mwaka la Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi lililofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).