KUKAGUA UJENZI HOSPITALI MARA

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ya Mwalimu Nyerere iliyopo Kwangwa mjini Musoma akiwa kwenye ziara ya mkoa huo jana. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).