MAZUNGUMZO

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro ofisini kwake, Ikulu Dar es Salaam jana. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).