KUJADILIANA JAMBO

Waziri wa Bunge na Sera Jenista Mhagama (Kushoto), Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi (katikati) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi  wakijadili jambo Bungeni Asubuhi hii.