WAKIWAENDESHA WATOTO KWENYE VITI

Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Nuru Mhando (mwenye gauni ya mistari anayeendesha kiti cha mtoto) na Mkurugenzi Huduma za Uuguzi, Agnes Mtawa (wa kwanza kulia) aliyemuwakilisha Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwaendesha watoto baada ya kukabidhi vipima joto na viti 20 vya watoto wagonjwa walivyokabidhi jana ikiwa ni Wiki ya Maadhimisho ya Miaka 13 ya TPA.