MAKINIKIA

Waziri wa Katiba na Sheria na Mwenyekiti wa Kamati ya mazungumzo kuhusu mchanga wa madini ‘Makinikia’ iliyoundwa na Rais John Magufuli, Profesa Palamagamba Kabudi akiukaribisha ujumbe wa kampuni ya Barrick Gold Corporation uliowasili Ikulu, Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza mazungumzo.

Add a comment

UTALII TANZANIA

Moja ya vivutio vya utalii vinavyopatikana katika Hifadhi ya Mazingira ya Asili ya Amani. Eneo hili linajulikana kama Ngua View Point, watalii kutoka mataifa mbalimbali hutembelea eneo hili ljnalotenganisha Usambara Magharibi na Mashariki kwa ajili ya kushuhudia namna jua linavyozama (Picha na Katuma Masamba)

Add a comment

KUPOKEA CHETI

Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Tuma Abdallah akipokea cheti kutoka kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani baada ya kumalizika kwa Mkutano wa sita wa wahariri na wanahabari waandamizi wa kujadili sekta ya utalii. Mkutano huo ulioandaliwa na Hifadhi za Taifa (TANAPA) ulifanyika jijini Tanga. (Picha na Katuma Masamba).

Add a comment

KUPOKEA CHETI

Kaimu Mhariri wa gazeti la Habari Leo, Nicodemus Ikonko, akipokea cheti kutoka kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani baada ya kumalizika kwa Mkutano wa sita wa wahariri na wanahabari waandamizi wa kujadili sekta ya utalii. Mkutano huo ulioandaliwa na Hifadhi za Taifa (TANAPA) ulifanyika jijini Tanga. (Picha na Katuma Masamba).

Add a comment

KUPOKEA CHETI

Kaimu Mhariri wa Habari wa gazrti la Habari Leo, Mgaya Kingoba akipokea cheti kutoka kwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani baada ya kumalizika kwa Mkutano wa sita wa wahariri na wanahabari waandamizi wa kujadili sekta ya utalii. Mkutano huo ulioandaliwa na Hifadhi za Taifa (TANAPA) ulifanyika jijini Tanga. (Picha na Katuma Masamba).

Add a comment