Waziri Wa Tizeba akagua usafirishwaji wa Korosho-Mtwara

Waziri wa Kilimo Dk Charles Tizeba ametembelea Bandari ya Mkoa wa Mtwara na kukagua usafirishaji wa zao la korosho ghafi zinazokwenda nchi za India na Vietnam.

Kufikia January10 mwaka huu jumla ya tani Laki 190 za korosho tayari zimesafirishwa ambapo lengo ni kusafirisha tani 230 katika msimu huu.