Hesabu za Oljoro kucheza Ligi Kuu

TAKRIBANI miaka mitano sasa mkoa wa Arusha umekosa timu inayoshiriki Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara baada ya kushindwa kuwa na harakati za kupandisha timu katika madaraja ya juu. Mkoa huu ulio katika ukanda wa Kaskazini ulikuwa na historia ya kufanya vizuri katika kusakata kandanda miaka ya nyuma ukiwakilishwa na timu za Ndovu Fc na AFC.

Add a comment

Simba, Yanga wekeni siasa pembeni

SOKA limewekwa pembeni na kinachotawala kwa sasa ni siasa za baadhi ya viongozi wa soka. Kila kukicha usiposikia mvumo upande wa Jangwani basi utasikia Msimbazi. Watu wanasema huo ni ushabiki lakini umezidi kiasi kwamba baadhi ya viongozi hufikia hatua ya kutoleana maneno ya kashfa na yasiyopendeza hata kwenye mitandao ya kijamii.

Add a comment