Usajili huu mtamu!

USAJILI popote pale duniani kinachoangaliwa ni fedha. Mchezaji wa kulipwa hutazama ni wapi atanufaika kwa ajili ya maisha yake. Mchezaji mmoja anaweza kutakiwa na zaidi ya klabu moja lakini hutazama penye dau kubwa, lakini pia, sehemu ambako atapata nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza ili kuendelea kutunza kiwango chake.

Add a comment