DIMBWI LA MAHABA: Jihadhari na mambo haya kabla ya kujiingiza katika mahusiano

HAKUNA ubishi kuwa kila mwanadamu katika dunia hii, anahitaji kupendwa na kuwa katika uhusiano wa kimapenzi. Kutokana na ukweli huo, wengi wetu tumekuwa tukipata tabu inapofikia hatua ya kuingia katika uhusiano, kwani huwa na matarajio makubwa na wenza wetu kiasi cha kujikuta tunaishia kuwa na uhusiano wa kila aina, yote hiyo ni katika kutafuta wenza angalau wanafikia matarajio yetu.

Add a comment