Watendaji wa ardhi, amkeni

KAMPENI ya Amka na Waziri wa Ardhi inayoendeshwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kwa ajili ya kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi imekuwa ikibaini uwapo wa matatizo mbalimbali katika sekta hiyo na kuyatatua, jambo ambalo limeleta manufaa kwa wananchi waliodhulumiwa ardhi zao.

Add a comment