Tunawajibu kuzingatia sheria uvunaji wa mazao ya misitu

RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani asilimia 95 ya nishati inayotumika nchini hutokana na mimea iliyopo katika misitu. Tanzania ina takriban hekta milioni 48 za misitu na misitu matajiwazi, zikiwemo hekta milioni 28.0 za hifadhi ya maji, ardhi na bioanuai za misitu liyohifadhiwa kwa ajili ya uvunaji na iliyopo kwenye maeneo ambayo hayajahifadhiwa kisheria.

Add a comment