Inec yazidi kunoa wanahabari Uchaguzi Mkuu
TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imejipanga kushirikiana na vyombo vya habari kuhakikisha habari na maudhui yake yanalenga kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka huu. Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima alisema hayo jana mkoani Dar es Salaam alipomwakilisha Mwenyekiti wa Inec, Jaji Jacobs Mwambegele kwenye … Continue reading Inec yazidi kunoa wanahabari Uchaguzi Mkuu
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed