Jaji Mkuu azindua vikao vya Mahakama ya Rufani Moro
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma akiongozwa na Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Fadhili Tambale kukagua gwaride la Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Morogoro ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa vikao vya Mahakama ya Rufani katika Kituo Jumuishi cha Mahakama kuu Kanda ya Morogoro vilivyoanza leo April 24 na kutarajia kufikia tamati Mei 12, ,2023 (Picha na John Nditi).