‘JB’: Bongo Movie ya sasa sio ya jana

DAR ES SALAAM: NYOTA wa kiwanda cha filamu nchini, Jacob Steven, ‘JB’ amesema sanaa ya filamu na tamthilia kwa sasa imechangamka watu wanapiga kazi sio mchezo.

Akipiga stori na Habari leo jijini Dar es Salaam JB amesema kuwa kuna kipindi tulilala saivi wasanii wa filamu wameamka.

“Wasanii wemeamka kwa kasi ya ajabu, mwamko wa maproduza wanawake unaongezeka kwa kasi, watu wanapiga kazi kisawasawa awataki mchezo muda sio rafiki nitumie muda huu kuwapongeza kwa kazi nzuri.

“amesema JB

Habari Zifananazo

Back to top button